Msanii wa Nigeria ICE PRINCE taabani kwa JOKATE MWEGELO.
Prince amekuwa akipost picha za bidada wa KITANZANIA huyo mara nyingi kwenye instagram page yake.Huku PRINCE akifanya hayo bila kumtonya bidada huyo ukweli wa kwanini anafanya hivyo.
Bidada JOKATE kafunguka kwa kusema haelewi dhumuni na mambo anayofanya PRINCE,na bado hajaona mwanaume wa kumuoa.
Full stori usisahau kuangalia eNews in EATV saa 12:00 jioni
No comments:
Post a Comment