AVUTA KLABU KUMSAJILI
[image: 10994224_993426000688359_7507094014852630652_o-696x464]
Klabu ya Juventus ya Italia imeoneshwa kuvutiwa na uwezo wa kucheza soka wa
mtoto wa miaka 10 Rashed Al Hajjawi raia wa Palestina aliyezaliwa na
kukulia Norway kutokana na kipaji chake. Rashed Al Hajjawi ambaye video
yake imeonekana katika mitandao hivi karibuni Juventus wameonesha dhamira
ya dhati ya kuanza kuhitaji huduma ya mtoto huyo ambaye anatazamiwa kuja […]
The post VIDEO: Dogo wa miaka 10 kasajiliwa na Juventus anatabiriwa kuwa
kama Messi.
No comments:
Post a Comment