Wednesday, October 12, 2016

NAENDELEA KUBANA MATUMIZI

Raisi wa Tanzania Mh.John Joseph Magufuli azidi kwendana sera yake ya kubana matumizi,na hii ni baada ya rais kupiga marufuku kwa viongozi waalikwa kuhudhuria maadhimisho ya kilele cha mwenge wa uhuru,utakaofanyika Bariadi nchini humo.
Viongozi waalikwa wakiwemo wakuu wa mikoa,wakuu wawilaya,katibu tawala na wengine ambao idadi yao sio chini ya mia tano na arobaini(40),wamehaswa kubaki katika ofisi zao na kupanga jinsi ya kusherekea maadhimisho hayo ambayo yanaenda sambamba na siku ya kifo cha raisi wa kwanza wa taifa hilo Mwl.Julius Kambarage Nyerere yanayofanyika kila mwaka tarehe 14 oktoba.

No comments:

Post a Comment