Wednesday, October 12, 2016

UBORESHAJI

Shirika la mapato Tanzania{TRA} laanza uboreshaji wa namba ya utambulisho ya mlipa kodi(TIN NUMBER),ili kuwezesha walipakodi kuwa na namba moja ya utambulisho,ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa za mlipa kodi.
Awali mlipa kodi mmoja alikuwa akimiliki( TIN) zaidi ya moja kama ya biashara,leseni ya udereva,n.k ambazo zilikuwa zikitolewa tofauti kutokana na matumizi husika.Ubadiishaji na uboreshaji huu umeanza katika jiji la Dar es salaam na baadaye kwenda mikoa ya nchi nzima.Mpaka sasa timu ya TRA yaendelea na ziara ya kutoa elimu kwa mlipa kodi,ili wawe na elimu tosha juu ya tozo za kodi.
TRA KWA MAENDELEO YA TAIFA

NAENDELEA KUBANA MATUMIZI

Raisi wa Tanzania Mh.John Joseph Magufuli azidi kwendana sera yake ya kubana matumizi,na hii ni baada ya rais kupiga marufuku kwa viongozi waalikwa kuhudhuria maadhimisho ya kilele cha mwenge wa uhuru,utakaofanyika Bariadi nchini humo.
Viongozi waalikwa wakiwemo wakuu wa mikoa,wakuu wawilaya,katibu tawala na wengine ambao idadi yao sio chini ya mia tano na arobaini(40),wamehaswa kubaki katika ofisi zao na kupanga jinsi ya kusherekea maadhimisho hayo ambayo yanaenda sambamba na siku ya kifo cha raisi wa kwanza wa taifa hilo Mwl.Julius Kambarage Nyerere yanayofanyika kila mwaka tarehe 14 oktoba.

MAAJABU

Nchini Ethiopia mwanamke mmoja ajifungua mtoto mwenye umbo la chura.Mpaka sasa wataalamu bado hawajafahamu kilichopelekea mtoto huyo kuwa na umbo la chura.
In Ethiopia,
A woman gave birth to a baby who has the shape of a toad(frog). Specialist still working to know the reason that led to that shape.

Tuesday, October 11, 2016

AVUTA KLABU KUMSAJILI

[image: 10994224_993426000688359_7507094014852630652_o-696x464] Klabu ya Juventus ya Italia imeoneshwa kuvutiwa na uwezo wa kucheza soka wa mtoto wa miaka 10 Rashed Al Hajjawi raia wa Palestina aliyezaliwa na kukulia Norway kutokana na kipaji chake. Rashed Al Hajjawi ambaye video yake imeonekana katika mitandao hivi karibuni Juventus wameonesha dhamira ya dhati ya kuanza kuhitaji huduma ya mtoto huyo ambaye anatazamiwa kuja […] The post VIDEO: Dogo wa miaka 10 kasajiliwa na Juventus anatabiriwa kuwa kama Messi.

SALOME

Msanii  wa Nigeria ICE PRINCE taabani kwa JOKATE MWEGELO.
Prince amekuwa akipost picha za bidada wa KITANZANIA huyo mara nyingi kwenye instagram page yake.Huku PRINCE akifanya hayo bila kumtonya bidada huyo ukweli wa kwanini anafanya hivyo.
Bidada JOKATE kafunguka kwa kusema haelewi dhumuni na mambo anayofanya PRINCE,na bado hajaona mwanaume wa kumuoa.
Full stori usisahau kuangalia eNews in EATV saa 12:00 jioni

TAFITI

58% ya vijana wa Tanzania wako tayari kupewa rushwa,kwa kupata huduma kama za kumpigia mgombea kura,
Imetolewa na tume ya utafiti ya chuo kikuu cha AGHAKAN.